Naibu Katibu Mkuu Mhandisi Nadhifa Kemikimba afanya ziara ya kushtukiza Ihumwa ambapo DDCA wanaendelea na uchimbaji wa kisima.
Mh. Naibu Katibu Mkuu Mhandisi Nadhifa Kemikimba atembelea eneo la Nzuguni kulipochimbwa kisima kwa ajili ya kuongeza kiasi cha maji eneo hilo.
Hatua za kufuata ili kuweza kulipia Ankra yako ya maji kupitia mitandao ya simu za mkononi
Ndugu mteja wa DUWASA unaweza kufanya malipo ya ankara yako maji kupitia benki na mitandao yote ya simu za mkononi
Wananchi wa vijiji vya Mombose na Bubutole wakimsikiliza Mh. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Eng. Nadhifa Kemikimba (hayupo pichani) alipotembelea Farkwa kukagua zoezi la wananchi kuhama.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Duwasa Mhandisi Aron Joseph akiongea na waandishi wa habari alipotembelea Mzakwe kwenye Ziara ya kushtukiza ya Mh. Waziri alipokagua kazi ya uchimbaji wa Visima i
Mh. Juma Aweso Waziri wa Maji akimsikiliza Mkandarasi anaechimba visima katika chanzo cha maji Mzakwe katika jitihada za kuongeza uzalishaji wa maji Jijini Dodoma
Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mombose alipotembelea bwawa la farkwa lililopo Wilaya ya Chemba
Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea maelezo kutoka kwa aliekuwa Mkurugenzi mtendaji wa DUWASA Mhandisi David Pallangyo ya namna mitambo ya maji inavyofanya kazi, alipotembelea kituo cha
Mhe. Katibu Mkuu Mhandisi Anthony Sanga pamoja na Naibu Katibu Mkuu Mhandisi Nadhifa Kemikimba wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Wizara ya Maji katika ofisi za wizara - Mtumba.
Mhe. Balozi (Mst) Job M Lusinde enzi za uhai wake akikagua ujenzi wa mradi wa maji Ihumwa.
Mitambo ya kusukumia maji katika kituo cha uzalishaji Mzakwe
Wananchi wakinawa mikono katika kituo cha kunawia mikono kilichopo soko la Majengo - Dodoma
Eneo la kunawia mikono lililodhaminiwa na DUWASA katika soko la Majengo Jijini Dodoma katika jitihada za kupambana na ugonjwa covid-19
Mtumishi wa DUWASA akitoa maelezo jinsi mita za malipo kabla zinavyofanya kazi
Waziri wa Maji Mhe. Prof. Makame Mbarawa alipotembelea banda la maonyesho la DUWASA katika wiki ya Maji
Mafundi wa DUWASA wakifanya matengenezo ya bomba katika kituo cha kusukumia Maji cha Mailimbili
Mafundi wa DUWASA wakifanya matengenezo ya bomba katika kituo cha kusukumia Maji cha Mailimbili
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso akichota maji katika mradi mpya wa kupeleka maji katika mji wa serikali Mtumba
Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA Mhandisi David Pallagyo akifafanua jambo kwa Mhe Naibu Waziri wa maji Juma Aweso
DUWASA inatoa huduma ya usambazaji wa maji safi pamoja na uondoshaji wa majitaka ikiwa ni usafi wa mazingira mjini Dodoma. Sambamba na hayo DUWASA pia inatoa huduma ya maji bure kwa watu wasiojiweza.