Afisa Mazingira kutoka Wizara ya Maji, Moses Mgalla, akizungumza na wananchi wa Kibaigwa ambao maeneo yao yamechukuliwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) wakati wa
Mkazi wa Nzuguni, Benjamini Elias akisaini katika daftari la fidia wakati wa zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wa Nzuguni jijini Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa na DUWASA. Agosti 11,202
Muhasibu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Getrude Mosha (kulia) akizungumza na mkazi wa Nzuguni wakati wa zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wa Nzuguni jijini Dodo
Aliyekuwa Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani (kushoto), akipokea hundi kutoka kwa Muhasibu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Getrude Mosha wakati wa zoezi la ul
Afisa Mazingira kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Ambrosi Siril akimsaidia Bibi Anna Masaka kusaini katika daftari la fidia katika eneo la Zuzu Nala jijini Dod
Afisa Mazingira kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Ambrosi Siril akimsaidia mzee Peter Mazengo kusaini katika daftari la fidia katika eneo la Zuzu Nala jijini D