Our Services

DUWASA inatoa huduma zifuatazo usambazaji wa maji safi pamoja na uondoshaji wa majitaka ikiwa ni usafi wa mazingira mjini Dodoma.Sanjari na hayo DUWASA pia inatoa huduma ya maji bure kwa watu wasiojiweza