Frequently Asked Questions
You can get your control number by using your mobile phone by dialing this number.
*152*00# then
1. Choose no. 6 - WATER
2.Choose no. 1 - DUWASA
3. Chagua no.1 - WATER PAYMENT
4. This service costs Tsh.100, choose 1 to accept or 2 to discard .
5. write your account.
You will recieve a short messege.
- Unaweza kutoa taarifa juu ya kuvuja maji, kuziba kwa mtandao wa majitaka, na wizi wa maji kwa kupiga namba za bure (Vodacom-Vodacom) kwa namba 0767 000207 & 0767 000208 na namba ya bure kwa mitandao yote 0800110078 .
- Pia unaweza kutoa taarifa kwa kufika ofisi za DUWASA, chumba namba 1 kwa taarifa za uvujaji na kuziba kwa mtandao wa majitaka, na chumba 31 kwa taarifa za wizi wa maji.
- Aidha unaweza kutoa taarifa kwa mtumishi yeyote wa DUWASA kuhusu suala au tatizo lolote linalokutatiza