Video Albums
MIAKA MIWILI YA AWAMU YA SITA NA HALI YA MAJI KWA JIJI LA DODOMA
Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA akielezea Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji - Dodoma.
Posted On: Mar 02, 2023
WAKAZI 17,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA FEDHA ZA UVIKO-19
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amesema zaidi ya wananchi 17,000 katika maeneo ya Bahi mjini wilayani hapa mkoani Dodoma, wanatarajia kunufaika kupitia mradi wa maji unaotekelezwa kwa fedha za Maendeleo ya Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19
Posted On: Mar 01, 2023
ZIARA YA BODI YA DUWASA: JIJI LA DODOMA KUPATA MAJI KUTOKA BWAWA LA MTERA
Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira walipotembelea Bwawa la Mtera.
Posted On: Mar 01, 2023
DUWASA YASAINI MIKATABA KUANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA NZUGUNI.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ashuhudia zoezi la utiaji saini Mikataba ya ujenzi wa Mradi wa maji wa Nzuguni.
Posted On: Mar 01, 2023
DUWASA YATOA UFAFANUZI HALI YA UPATIKANAJI MAJI NALA
Mkurugenzi wa Usambazaji maji na Usafi wa Mazingira, Mhandisi Emmanuel Mwakabole akitolea ufafanuzi hali ya maji Nala na maeneo mengine ya pembezoni.
Posted On: Mar 01, 2023
UFAFANUZI WA MASUALA MBALIMBALI YA DUWASA
UFAFANUZI WA MASUALA MBALIMBALI YA DUWASA
Posted On: Aug 20, 2019