News
Posted On:
Sep, 11 2024
DUWASA YAZIDI KUPAA MAJI CUP, YAMPIGA TANGA WSSA
Timu ya Mpira wa Pete (Netball) ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) Leo Septemba 11, 2024 imemchapa seti 41 kwa 25 timu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA WSSA) katika viwanja vya Social UDOM kwenye Mashindano ya Maji Cup yanayoendelea Jijini Dodoma