UTARATIBU MPYA WA MALIPO YOTE KWA HUDUMA ZA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI DODOMA (DUWASA) KUPITIA MFUMO WA MALIPO WA SERIKALI (GePG)

Posted On: Aug 19, 2019


Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) imefanya maboresho ya uimarishaji wa mfumo wa malipo ya huduma zote zitolewazo na DUWASA kwa wateja wake wote. Kutokana na maboresho hayo, kuanzia mwezi Januari 2018, wateja wanaitumia namba ya malipo (control number) kila mwezi wanapofanya malipo. Read More