TANZIA

Posted On: Jul 08, 2020


Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa DUWASA wanatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa na wana Dodoma kwa msiba wa Hayati Mhe. Balozi (Mst) Job M Lusinde, aliekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya DUWASA, kilichotokea alfajiri ya tarehe 7 Julai 2020 Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Daima DUWASA itamkumbuka Hayati Mhe. Balozi Lusinde kama Baba, Mlezi, Mzazi, Mwalimu, Kiongozi na Mshauri Bora kwa Taifa. Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe, Amina.