TANGAZO MUHIMU

Posted On: Apr 15, 2021


Ndugu Mteja,

DUWASA haipokei FEDHA taslimu. Malipo yote yanafanyika kwa kutumia mitandao ya SIMU, BENKI au WAKALA kupitia namba ya Kumbukumbu inayoanza 991051 inayotumwa katika ANKARA yako au unayopewa kwa ajili ya kufanyia Malipo ya huduma nyingine kama maunganisho mapya ya majisafi au majitaka, uondoshaji wa majitaka kwa gari au gharama za kurejesha huduma (kwa waliositishiwa huduma)

Baada ya Malipo utapata ujumbe unao onyesha kuwa pesa imepokelewa DUWASA katika akaunti yako.

Epuka matapeli DUWASA haipokei FEDHA taslimu.

Imetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano

DUWASA