MATUMIZI MAZURI YA MTANDAO WA MAJITAKA

Posted On: Aug 19, 2019


Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) inawakumbusha wateja wake na wananchi wote kwa ujumla kutumia vyema mfumo wa mtandao wa majitaka ili kuepusha mtandao huo kuziba mara kwa mara. Aidha ikumbukwe kuwa mtandao wa majitaka ni kwa ajili ya taka laini na hairuhusiwi kutupa taka ngumu kwenye mfumo wa majitaka. Read more